Smart Bundles

Kuwa Wakala Wetu

Nunua bando kwa bei ya jumla, uza kwa bei yako, weka faida yako

💰

Bei ya Jumla

Ukikubaliwa, unanunua bando kwa bei ya chini kuliko bei ya kawaida ya soko.

📈

Faida Yako Mwenyewe

Unauza kwa wateja wako kwa bei unayoamua wewe — tofauti ni faida yako.

🤝

Msaada wa Kuuza

Tunakupatia orodha za bei na matangazo ya kutumia WhatsApp Status/Instagram.

📋 Fomu ya Kuomba Uwakala

Tutakupigia/kukutumia WhatsApp ndani ya masaa 24 baada ya kupitia ombi lako.

Ombi Limepokelewa!

Asante . Tutawasiliana nawe ndani ya masaa 24 kupitia namba uliyotupa.

← Rudi Nyumbani